iqna

IQNA

jeshi la majini
Makabiliano na Mabeberu
IQNA- Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuikamata meli ya mafuta ya Marekani kwa amri ya mahakama katika Bahari ya Oman.
Habari ID: 3478185    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitaja kazi yenye mafanikio na fahari iliyofanywa na Kundi la 86 la Wanamaji wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kuzunguka dunia nzima kuwa ni matokeo ya kazi ngumu, nia thabiti, kujiamini, uwezo wa kubuni, maarifa ya hali ya juu ya kijeshi, uongozi bora na "ujasiri na kusimama imara mkabala wa mashaka ya aina mbalimbali."
Habari ID: 3477391    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/06

TEHRAN (IQNA)- Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kulinda usalama na kuvipa msaada vyombo vya baharini na pia kuonyesha uwezo wa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu sambamba na kufikisha ujumbe wa amani na urafiki, ndio malengo ya Iran ya kuwepo kijeshi kwenye eneo la maji ya kimataifa.
Habari ID: 3474820    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/17